Usiombee kukosa hela

Wanaume tuliowengi nguvu za kiume hua zinapotea kabisa mshedede unalegea kama matembele yaliyopigwa na jua, unabaki kujitetea yaani sijui ni mawazo au ni nini ili kuua sooo ukweli mfuko ukiwa mtupu kazi kwelikweli
🤣🤣🤣🤣🤣!
 
Ngoja nitulie nitaleta visa vitatu vilivyonikuta. Huwezi tongoza akikuangalia unakwepesha macho
😂😂😂😂😂😂😂
Nyieeeee maisha hayaaaa brother kwa sasa sina hizo guts za kutongoza japo walau naingiza mia mbili ndani ya msoto mkaaali, kwakweli mahusiano kubaaafu kabisa yanakufanya ujue ulizaliwa wewe utaishi wewe na hata ukifa ni wewe mwenyewe.
 
hilo wazo unalitekeleza na nini km huna hela unafikiri wasiokuwa na hela hawana mawazo? Mimi hapa nna ideal ya biashara lakini mfukoni hapa nilipo nna buku tu hilo wazo nnalifanyaje.
Ebu tushirikishe wazo lako mkuu
 
Pole...mwanga unakaribia
 
Pole Mkuu nakuelewa, kuna dogo kamaliza degree 2018 Juzi kati nakutana nae akanambia nimpe sehem ajishikize wakat anasikilizia application zake, nikamwambia panda gari nenda eneo fulan utakuta vijana pale ungana nao, alisema nitaendaje? Nauli 5000/=.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mwalimu lakini mkuu,
 
Kwanini utupa line? Ina maana hutahitaji tena msaada wa songesha? Utatupa line ngapi?
 
Wanaume tuliowengi nguvu za kiume hua zinapotea kabisa mshedede unalegea kama matembele yaliyopigwa na jua, unabaki kujitetea yaani sijui ni mawazo au ni nini ili kuua sooo ukweli mfuko ukiwa mtupu kazi kwelikweli
Nashangaa watu wanahangaika na dawa za miti shamba nguvu za kiume. Wee ukiwa na hela mwanaume hupati tabu za nguvu za kiume maana kwanza full confidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…