Usiombee kukosa hela

Kwangu kila kukicha ni bora ya Jana

Hadi huwa naijutia Kura yangu nliopiga wakti wa uchaguzi
 
Ndio ninachowafanyia hawa wenzako. Siwapi hata Mbuni na wala hawahitaji kwa mujibu wa maelezo yao. Nalipia tu $50 usiku 1 nakula Nyama. Na huwa nawadinya kwa hasira ***** zao. Mkiwaga na hela mnakuwaga na jeuri mnajifanyaga kuchagua wa kuwapa Papuchi. Mi napewa huku na wenzako wenye Visent vyao. Wala sijutii kuwadinya maana nikiingia ndani ya Ndege kurudi kibaruani kwangu kuna muda huwa nakwama kuwakwamua ndugu zangu, wao huwa wanaokoa Jahazi. Hadhi yao walivyo ningekuwa Msela tu hata ningezikiri uchi nisingewapata, wacha niwape kitu inataka. Wenye hela wanakula Vinono sana aisee.
 
Kama wewe ndio Shamkware aliewahi kufanya kazi gtz, ni DM namba yako aseee.
 
Mie sikumbuki lini nimeguswa....unanigusa ili iweje kwa mfano....!
 
kifupi inaitwa pass ndefu, au cross hizo nimepiga sana mwaka jana mwishoni week nzima bajeti elfu 20 tu ya kula mwezi mzima 80
 
kifupi ina pass ndefu, au cross hizo nimepiga sana mwaka jana mwishoni week nzima bajeti elfu 20 tu ya kula mwezi mzima 80
😀😀 eti cross ndiyo hizo mkuu dah nikimuona mtu anasema anakosa hata 100 aisee namuelewa aisee usiombee
 
Pole sana Mkuu,yana mwisho hayo.
 
Maisha ya kusubiri kupewa kila kitu ni utumwa.
 
Siku ukifulia utajiona boya kishenzi😂😂😂 anyway kila kitu Ni chako pesa muda na dude nisikupangie matumizi
 
Ukiw
Mie sikumbuki lini nimeguswa....unanigusa ili iweje kwa mfano....!
😂😂😂😂Kwamba ukishauona mzigo wako pembeno hata usipoguswa fresh!!!

Kuna msemo unasema hivi, shetani yupo karibu zaidi na mwanamke asie na pesa, ikiwa kinyume chake shetani husogea mbali kidogo na kweli

Kwa wanaume inakuwa kinyume akiwa nazo ndo shetani huwa karibu nae akizikosa shetty nae anamtosa
 
Namwambiaga mshikaji...ngumu sana mwanamke akiwa financially fit akawa ana kiraru....sasa awe broke...noma sana...mie sinaga hamu za ajabu ajabu...ingawa am very active🤭🤗
 
Braza naongelea wanawake matajiri sio waajiriwa wa benki eti😅😅halafu utakuwa unawadolishia dollars Basi wanaweweseka wasijue hata Kuna wanaoishi nje na Ni pangu pakavu hawana A Wala be
 
Namwambiaga mshikaji...ngumu sana mwanamke akiwa financially fit akawa ana kiraru....sasa awe broke...noma sana...mie sinaga hamu za ajabu ajabu...ingawa am very active🤭🤗
Ukiwa broke Ni aibu rafiki yangu inataka moyo sana kuleta jeuri mbele ya mwanaume anaekutaka kingono,

Tuzisanye tu aisee, heri genye zikauke ukiwa na uchumi mzuri kuliko una migenye rundo unagongwa ovyo ili upate mkate wa kula
 
Ishu sio lazima awe tajiri au vip...mfano zamani mwanamke hata kushika milion hajawah akianza kushika tu anakua hana tym hizo ...hao wa crdb huenda wanapenda show tu...
 
Hakika best angu....umenena vyema mno mno...hata.kama.huna hamu umechoka mume akitaka huna ubavu kukataa..khaa maisha haya😒
 
Ishu sio lazima awe tajiri au vip...mfano zamani mwanamke hata kushika milion hajawah akianza kushika tu anakua hana tym hizo ...hao wa crdb huenda wanapenda show tu...
Wanawake wa bongo wengi wanashoboka wakisikia first world countries wanahaha na huyo jamaa km hujamgundua anajitangaza makazi yake kwa hao wanawake na anawakamata kiulaini sana, msome vizuri utamuelewa😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…