Usiombee kukosa hela

Ni mimi hapa tuma yakutosha au nikuoe no yangu mpya?hahahaha
 
Dogo wala hakukosea

Ni infiriority complex ilikua inakusumbua

Nlikua na brother angu aliniomba msaada kdogo nkampa kama 4mil KWA mfumo wa loan lakini anihakikishie atafanya nini chenye return hata kama sio ya haraka

Alienda shamba na water pump generator nkamtumia na pipes

Ila kilichotokea sijui alikwenda fanya issues zake mpaka leo nmeshamsamehe

Ivo usiogope kutoa plan inawezekana ikawa nzuri na yeye akaitumia alipo
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mwamba ukaona dogo asikuletee utani....true definition ya masikini jeuri[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nina hii pia ila iko kwa mtindo tofauti kidogo, sometimes bora uonekane kiburi tu kuliko kufanyiwa hivyo na ndugu zako tena wa damu.. mimi nimegundua sometimes ndugu sio option nzuri kabisa katika kuomba msaada, siku nitaleta kisa!
 
Amen[emoji120]
 
Jinsia gani?
 

Dah!!...nimeipenda Msg ya mwisho “Marufuku kukataa”. Ni kweli kwenye maisha ni marufuku kukata tamaa. Nipo first world huku hivi sasa. Lakini maisha niliyopitia Africa mpaka kufikia kupanda Ndege kuja kuishi huku acha tu.
Alhamdulillah kila sifa njema kwake muumba. Marufuku kukata tamaa aisee.
 
Na hilo ndilo la msingi mkuu, unaweza usipate hela lakini ukapata mtu ambaye atakua msaada sana kwako kimawazo na kimbinu katika maisha, na rafiki wa kudumu, mana katika matatizo ndipo tunajua yupi ni REAL na yupi ni FAKE kwako
Yeah tukaze buti
 
hongera mkuu, sisi bado tunapambana hata nauli ya kutoka Moro hadi dar nichangamoto ila tunakomaa, ni dhambi kukata tamaa
 
Achana na mtu anaeyeitwa NDUGU! ndugu yako ni wale mnaokutana katika matatizo na mihangaiko ya kimaisha na kusaidiana huku mkiwa hamjuani, hao ndio NDUGU.
Well said!
 
Watu wa aina yako ni wanafiki sana, kumshauri mtu unaanza kumcheka kwanza ndio unamshauri
Mimi siyo mnafiki mkuu. Sema kupitia malalamiko yako umenikumbusha nilivyopigwa tukio na demu wangu wa zamani so nikawa sina hela hata kidogo kwa mwezi huo niliishi maisha ya taabu sana mpaka nakuja kuwa stable nilipitia changamoto kubwa sana.
 
Tatizo Ni sente mkuu😂😂 demu alihisi hauko serious kumbe hukuwa na hata hela ya kununulia juice tu kwenye outing yenu ya kwanza
Nilijua kabisa yule demu jinsi alivyo akija mjini sitaweza kumuoa maana unajua hata sisi wanaume tunajipima kwenu nyinyi mademu kwamba huyu nitawezana na huyu sitawezana. Yule nilitaka kumtaime kabla hajajanjaruka nimtafune ili akianza kupaka poda baadae niwaachie madoni.
Lakini kilichotokea hadi leo siamini.
Hela pumbavu sana
 
Ulizubaa Sana na wewe, mbona huwa hatutegeki kwa mahela meeengi, na vile alikuwa kuku wa kienyeji ungemmiliki vizuri tu, ulikosa kujiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…