Usiombee kukosa hela

Acha siasa ndugu. Suala la kufulia halina uhusiano na mwendazake wala nini. Lipo tangu enzi na enzi...ni kipindi cha mpito kinachoweza mtokea mtu yoyote.
 
Kwanini utupa line? Ina maana hutahitaji tena msaada wa songesha? Utatupa line ngapi?
Bora kutupa tu mtandao wa voda gharama zake ziko juu kwa kila kitu
 
hatari
 
Ukishatupa hutahitaji tena kukopa? Maisha yatanyooka kuanzia hapo?
Mkopo mwngne si had ulipe den na riba juu Sasa hiyo hela ya kulipa den bora aongezee mtaj kwenye hiyo biashara siku mambo yakinyookaa ataenda kusajili line mpya
 
Mkopo mwngne si had ulipe den na riba juu Sasa hiyo hela ya kulipa den bora aongezee mtaj kwenye hiyo biashara siku mambo yakinyookaa ataenda kusajili line mpya
Mmh haya
 
Nisamehe nimejikuta nacheka kama mazuri vile

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Ishanitokea sana hiyo,kuna siku mwaka juzi nimeamka asubuhi sina hata 50 mtoto njaa inauma na ndani ya nyumba tuna maharage,unga lakini hatuna hela ya mkaa. Nishakopa kwa jirani mkaa wa karibia huku 7 na siwezi kwenda kopa tena. Maisha ni safari
 
Mie koote sijawah umia kama kukosa shilingi 100 niongezee 200 nikanunue chumvi mwaka 2010!na hapo nna mgeni shemej yangu kaja kututembelea nimechinja kuku sina chumv na ndo kwanza nna siku kadhaa tu toka nitoke hom kuja kuishi na mshikaji nna katoto kachangaaa nililiaaa alafu mbya zaidi sina mazoea kabs na majirani ..kwanza nilikua sitoki toki nje enzi hizo mtoto wa kishua balaaa shenzi zangu..mshikaj anarud usk namwambia mimi nataka kurudi hom nimemmis baba🤣! Sitak tena yale maisha mm...ya kusubiri upewe!! Yaishie hukooo!nyoko kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…