Usiombe yakukute

Usiombe yakukute

Novatus

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2007
Posts
330
Reaction score
38
ukipona.jpg ukipona huwezi kurudia na kama hujawahi kutokewa na hii acha na wake za watu
 
Inaelekea jamaa anasema "Let me explain this before anybody gets hurt. it is not what you think it is......."
 
Mke wa mtu sumu mbayaaaaaaaaa siku hizi wengine wanakugeuza unapigwa halafu unageuzwa mke basi unakoma kabisa
 
Mbona jamaa kavaa nguo,halafu haiwezi kuwa kweli mtu kalala na mkeo halafu unashika tu panga pangetapakaa damu chumba kizima.
 
tena itakuwa scene ya movie ya kibongo,looks fake kabisaa.dada kapozi,jamaa anaongea kama anadai change yake sh 650 kwenye daladala!
 
Back
Top Bottom