Usiombe yakukute!!

Ndoa za "jumla" hizi! Getrude Rwakatare @ work! Hao wanasali - deep - kabla ya kubarikiwa!
 
Duh it is embarrassing. Lakini inaelekea wanaomba Mungu mambo yaende sawa sawia ili wawahi kwenye honey moon zao. Otherwise wapo kwenye queu ya kumuona Dr. kabla ndoa hazijafungwa.
 
inavyoonekana kwenye picha hawa wamepatwa na msiba wa ghafla......i'm not sure 4 what i said..:A S-cry::A S-cry:
 
hayo ndio mambo ya kupima ngoma kabla ya ndoa, wapo kwenye foleni ya kuingia kwa dokta kabla ya kuelekea kwa kasisi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom