naam " nimejionea haya mkuu " weee acha tu"..... vijana tunapaswa kuwa makini sana" katika hizi nyakati zetu za Uhai ".. waweza iletea familiar yako au kizazi chako majanga makubwa sana " hapo baadae" kwaajili ya upumbavu " wakuendekeza mahusiano".... MAHUSIANO Ya mapenzi NI KAMA SUMU TU yenye ladha tamu" ukijisahau lazima YatakumalizaHaswaaa
Kimsingi mimi sio mchepukaji wa hovyo hovyo kabisa,that is why pamoja na kukaa muda mrefu bila mke wangu nilikuwa na hiyo co-worker tu,kwa ajili ya kupooza nyege,kitu ambacho kimenicost!!!Tafuta ela ukiwa una uwezo wa kutunza vizuri watoto unatafuta mke ambae ni right kwako na uache tabia za kuchepuka hovyo
Fafanua kidogo aisee,kukumbatia sana mapenzi kivipi?trust me " watu wanaopenda" kuyakumbatia kumbatia sana mapenzi " huwaga wanafikwa na mwisho m'baya sana katika maisha "... Kama sio kufilisika na kufa masikini" ..basi nikuwa masikini maisha Yao yote either".... either" kukosa mahusiano mema na kizazi chake/familiar yake "....:
Ni kweli,nauchukua ushauri wako,japo nikianzisha mahusiano yakikaa kuanzia miezi 3,matumizi ya kondom kwa kweli yanapungua automatically!!!
Ila kwa hali hii nadhani nitajitahidi sana kuji-control,awali nilikuwa naamini mwanamke hawezi kushika mimba tu pasipo makubaliano,hasa watu wazima na wasomi! Sasa msomi mzima anajishikia tu mimba pasipo kukubaliana,sio sawa kabisa!
Ninaweza kukubaliana nawe kwa asilimia kadhaa,napata maswali mashaka kwamba yawezekana hiyo tabia ya kuwa na midume mingi hajaianza leo,pengine sikuweza kujua kwa sababu sijawahi kuwa na kawaida ya kushika simu yake,SIJAWAHI!!!Kwanza kitendo cha kumuita wa Singida eti mjadili kuachana ulikosea sana ulikosea sana na hapo ndipo alipofanya maamuzi ya kuwa na wanaume wengine wa nje kujipa faraja nachelea kusema wewe ulikuwa upo busy na wa Tanga ukamsahau mdada wa watu au ukipiga simu ni kuongelea watoto na maisha tu kuna mambo kama mwanamke alikuwa anayamiss bwana wee wanawake wote tunapendwa kusifiwa, tunapendwa kuchekeshwa, tunapendwa tupewe mda wote na wenza wetu, hayo mambo yakimiss huwa ni mtihani mkubwa sana na kama kuna mibazazi ikigundua hilo mwanamke anagongwa sana kama wa kwako, sana tu mpaka hapa wewe ni chanzo cha mke wako kufanywa nje na wanaume 4 tofauti alikuwa anatafuta true love na attention tu.
Mimi nakushauri hamjafunga ndoa, mmezaa tu please mwache mdada wa watu atapata anayempenda kama umekaa nae miaka 8, na kakuzalia watoto wawili na ana tabia nzuri hujampenda mpaka leo mwache mdada wa watu bado mapema sana kabla hajazeeka atampata wa kumpenda kwa dhati afurahie maisha.
(1) kukumbatia mapenzi" kupenda sana kuwa kwenye mahusiano"... Kama hapo umefanya makosa makubwa sana"... yakutokuwa na mwanamke " wa awali kwa issue ndogo tu " eti yakuto kumpenda " hukujua kwamba" formula ya mahusiano inamtaka mtu" apendwe yeye " zaidi na sio yeye kupendwa" ....katika maisha unapotaka kuwa na mwanamke wa maisha yako (mke) unapaswa kutazama vitu vingi haswaa vya msingi kama muhusika anavyo ukiachana na kumpenda kwako" ...jambo la kwanza na la msingi " nihuyo mtu kukupenda na kuwa mkweli mzazi bora kwa wanao". mwenye mapenzi kwa ndugu .mvumilivu na mwenye kujitoa kwako ".... waweza kuwa kwenye mahusiano na mtu usiye mpenda lakini kama ana hizo sifa " Aisee huyo ni bingo usimuache "... so kwa upande wako naweza kusema huna msimamo " unapenda kuchovya chovya ".(huku ndio kuyakumbatia mapenzi sasa)Fafanua kidogo aisee,kukumbatia sana mapenzi kivipi?
Na kwanini wanaishia kuwa masikini?
Unamaanisha matajiri hawakumbatii mapenzi!???
Ahsante sanaa,nitaufanyia kazi ushauri wako!Muache kistaarabu pia usianze uswahili wako eti screenshot, ameto.mbwa na wanaume 4 sijui, wewe muache chimbuko lake ni kuwa humpendi mdada humpendi tafuta maneno mazuri mmalizane poa, pia uwatunze yeye na watoto wako watunze baba usiwatelekeze, huyo wa Tanga hana hata hadhi ya kujadiliwa na mimi mtu anajua una familia na watoto kujibebesha mimba, kujiadolf hitler ana watoto kawaficha sijui kawaacha kijijini kwao, huyo hafai hata sifa za umama hana sifa za mke, jitu linalomwaga damu ili mwanaume abaki kwake ni kichaa huyo.
Wakaka oeni wanawake mnaowapenda na wanawake tuolewe na wanaume wanaotupenda maana mwanaume akikupenda atakuhonga mpaka jamiiforums uimiliki.
Duuh pamoja na yote niliyoyashuhudia nifunge naye ndoa!!????Singida ndo kwenyewe hapo ulipo sio salama.....kifo kinakunyemekea. Funga ndoa na Singida faster
Vipi na nyie mkarogwa kila dushe likiingia maumivu kama umechomwa na mwiba..Wanaume nyie Bana Dawa yenu ni kulogwa dushe lilale tuu.
Muache kistaarabu pia usianze uswahili wako eti screenshot, ameto.mbwa na wanaume 4 sijui, wewe muache chimbuko lake ni kuwa humpendi mdada humpendi tafuta maneno mazuri mmalizane poa, pia uwatunze yeye na watoto wako watunze baba usiwatelekeze, huyo wa Tanga hana hata hadhi ya kujadiliwa na mimi mtu anajua una familia na watoto kujibebesha mimba, kujiadolf hitler ana watoto kawaficha sijui kawaacha kijijini kwao, huyo hafai hata sifa za umama hana sifa za mke, jitu linalomwaga damu ili mwanaume abaki kwake ni kichaa huyo.
Wakaka oeni wanawake mnaowapenda na wanawake tuolewe na wanaume wanaotupenda maana mwanaume akikupenda atakuhonga mpaka jamiiforums uimiliki.
mkuu walikufanyaje?Nawaogopa sana wanawake
soWanaume nyie Bana Dawa yenu ni kulogwa dushe lilale tuu.
Atauwawa na huyo gaidiPole sana mkuu huku maofisini ni kuwa waangalifu sana kihalisi jiepushe sana mazoea na jinsia na tofauti ni rahisi sana kwenda ktk mapenzi.......ndicho nachokiona hata mimi kazini...pole sana kumaliza hilo ni mama wa watoto wako kumvuta uishi nae Tanga
Mkuu huyu wa Singida sio mwenyeji wa huko,huko anafanya kazi tu!!!Majanga juu ya majanga, mi kiukweli sitaona mwanamke anayetokea singida mana nilisikiaga kuwa ni wepesi sana kushawishika (so wote) sasa leo nimekuta tena simulizi nazidi kiamini tetesi nilizosikia