Senorita23
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 390
- 489
Dah pole sana ikiwezekana omba uhamisho kimya kimya sa mbona itakuwa hatar kama anaeza kujikata hvo vpi kuhusu mengine dah tafta namna ya kumuepuka
Very sure!Dah pole sana ikiwezekana omba uhamisho kimya kimya sa mbona itakuwa hatar kama anaeza kujikata hvo vpi kuhusu mengine dah tafta namna ya kumuepuka
Imebidi nicheke wallah loohWanamambo ya ajabu awa wakina mama, ukiwa mtu wa kusamehe utakufa mapema.

Na hilo ndilo linanifikirisha zaidi,kwani naona kila dalili kwamba akijiua nikawekwa kifungoni hata hao watoto wangu 2 sitawakuza kama nitakavyo,na mpaka kuwa huru inawezachukua miaka mingi kiasi kwamba nitakuwa nimepoteza mwelekeo kabisa!!Mkuu, tuliambiwa hawa watu tuishi nao kwa akili sana n.a. sio kutumia nguvu n.a. ubabe.
Nakushauri, ghairi hiyo safari then jishushe kwa huyo mwanamke. Tayari anafaham kuwa uko na mke n.a. watoto wawili, muulize yeye anataka nini/muishi vp? Maana tayari una familia n.a. ni lazima uihudumie.
Alaf fanya kumrudisha aishi kwake asije kwako kulala n.a. asiwe n.a. access ya kuingia ndani kwako hata kama haupo. Ukishindwa, hama nyumba n.a. yeye acha aishi mwenyewe. Hii itakuepusha n.a. risk ya huyo mwanamke kuja kufanya chochote kibaya ndani kwako ikiwa mtaendelea kuishi wote. Mfano akijiua n.a. kuacha memo yenye kukutia matatizoni.
Si tumekwambia usepe au huelewi?Mkuu natamambua fika kuwa nilikoaea sana,sana sana!!!
Siku ninajutia sana makosa yangu,lakini kubwa ni namna gani naweza kutoka hapa,angekuwa anaishi mbali isingenipa shida,tatizo ni kwamba tupo ofisi moja mkuu,na majukumu mengi tunafanya pamoja,naogopa sana kwa kweli sana!!!
Witnes nimekusoma vema sana!!Si tumekwambia usepe au huelewi?
CASE CLOSED!
Af Ulichokifanya leo,sikubali ngoja nilipizeHaaaahaaa![]()
![]()
...that's my Joowzey
![]()
Possibly you are living in a dream world, the world is full of illusions my friend,better we could have an opportunity to recognise the unseen!!!And you call yourself a Great Man.
Shaking my damn head.
Only a coward approaches a woman with no intention of loving her.
...in less than...Kwa hiyo mzee baba within less than 5 yrs tayari una watoto watano wa kulea! "![]()
Una akili sana mkuu, yaani ni ujinga kiwango cha lami kumtongoza mwanamke usiye na hisia nae na ni upumbavu uliotukuka kuzaa na mwanamke usiye na mpango wa kuja ishi nae!And you call yourself a Great Man.
Shaking my damn head.
Only a coward approaches a woman with no intention of loving her.
Hongera sana Mr.perfect,najua lazima una upuuzi wako pia,as long as wewe ni binadamu,upuuzi wangu ndo huo uliouorodhesha na nakubali kabisa,lakini usijihesabie haki mkuu,hauna cha kushauri kwa sababu u mkamilifu sana,sawa,hakuna problem!!!Mimi ni mwanaume lakini huwa nawashangaa sana wanaume wanaofikia maamuzi ya kipuuzi kama ya mtoa mada...upuuzi wenyewe ni huu:-
1. Hivi unaanzaje kumtongoza msichana usiye na hisia nae za kimapenzi (yaani humpendi)? Hata ukafanya nae ngono?
2. Kama ulikuwa hutaki kuzaa nae kwanini usingetumia kinga?
3. Unaanzaje kujenga mazoea ya karibu na mwanamke asiye mkeo hata ukamruhusu alale ndani mwako?alipokwambia anajiskia vibaya/usingizi kwanini usingempeleka nyumbani kwake maana umesema apartments zenu zipo jirani?
4.Unaruhusuje mwanamke asiye mkeo/mpenzi wako alale kitandani kwako ?
Kwa upuuzi ulioufanya mtoa mada hustahili ushauri wowote zaidi ya kupambana na ujinga wako
Tulia usome vizuri,uelewe then urudi,ni bahati mbaya sana mlio wengi mkiona thread ndefu hamsomi mkaelewa,mnaishia kukomment tuuuu,kwa mfano wewe ungesoma vizuri na kuelewa usingeandika ulivyoandika,na kama umesoma mpaka mwisho basi utakuwa kilaza,kiasi kwamba haujaelewa uzi!!!Una akili sana mkuu, yaani ni ujinga kiwango cha lami kumtongoza mwanamke usiye na hisia nae na ni upumbavu uliotukuka kuzaa na mwanamke usiye na mpango wa kuja ishi nae!
Mtoa mada kajichumia janga,wacha ale na wakwao
Walio wengi humu hufanya makosa kama niliyoyafanya mimi,japo ili kuficha aibu,mnatoa mimba,au mwanaume anakataa mtoto/watoto,hapo upumbavu unauepukaje,najiuliza maswali kwamba,mimi nashambuliwa kwa uzembe (japo wengine mnafikia hatua ya kuita upumbavu),lakini je,ni kweli kwamba kati yenu nyooote mnaonishambulia bado MNA bikra zenu?kama hapana,je,mumekuwa na mahusiano na mpnz mmoja mmoja tu?(yule aliyekubikiri/uliyembikiri!??)Una akili sana mkuu, yaani ni ujinga kiwango cha lami kumtongoza mwanamke usiye na hisia nae na ni upumbavu uliotukuka kuzaa na mwanamke usiye na mpango wa kuja ishi nae!
Mtoa mada kajichumia janga,wacha ale na wakwao