Usiombe ukutane na msichana wa namna hii...

si bora hiyo,
kuna jamaa alikuwa ktk gemu na mtoto, jamaa ananyonya nido! Ghafla mtoto wa watu kaona kama ameng'atwa na jamaa! Anapiga kelele wapi, daah kumbe jamaa alikuwa na kifafa, daah ninavyoandika hivi yule dada alishafariki kwa sababu baada ya kung'atwa aliumia sana, maumivu yaliyomletea umauti
Mmmmmh
 
Duhh!haya majanga yaliyonikuta usiku huu...ntawahadithia asubuhi
 
Wazee usiombe likukute lililonikuta!

Kuna manzi mmoja ni mzuri sana tena kifaa cha haja, tamaa zikanishika nikarusha ndoano vizuri sana baada siku mbili au tatu mtoto akakubali tutoke out! Tukatafuta sehemu tulivu yenye upepo mwanana tukatulia stori za hapa na pale, ajabu mtoto hanywi pombe ikawa faida kwangu nikabaki na chenji nyingi tu.

Muda muafaka baada ya kumbembeleza sana akakubali twende home, mtoto akajipekeka machinjioni mwenyewe. Gemu ya kwanza imeisha mtoto akaenda washroom ghafla nikasikia bonge la mzinga kama gari imepinduka.

Nikakurupuka uchi nasukuma mlango naona mtoto yuko chini anarukaruka kama anakata roho na mapovu kibao mdomoni, nilichanganyikiwa kila kitu nagusa naacha akili imeruka, huyu mtoto kapatwa nini hapa ananifia, nataka nitoke mbio nimuachie chumba nashindwa ikabidi niubane mlango wa chooni akishamalizia ndo nijue sasa nifanyeje.

Kimya kukapita nikajua tayari roho imeenda kwa muumba cha ajabu naona mlango unafunguka mtoto anatoka kidogo nifunguke mbio nikakaza roho!
nikamuuliza ulipatwa nini hata yeye hajui.

Nikamwambia vaa haraka sana ulikuwa usiku mzito sana nikamrudisha kwao, baadae ndo nikapata stori na ana hilo tatizo la kifafa daah! Sitasahau
sasa hivi kila msichana kabla ya yote swali la kwanza lazima nimuulize ulishawahi kuanguka wewe! Akijibu ndio niliteleza kwenye tiles najua huyu mzima.
Hahaaaa umenikumbushaa mwana kuna siku nlikua na demu ghetto afu bonge la pinii...si nkamwimbishaa...mtotoo si akaelewaaa....nkasema wallahi leo nina bahaty hataree....he sijakaa sawa ata mchezo sijaanzaa nashaangaa mtu anarushaa miguu juu....povuu la hatar linamtokaa mdomonii....hakikaa nlijutaaa...baada ya kukaa sawaa nkamwambiaa nendaa tu mamaaa....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
si bora hiyo,
kuna jamaa alikuwa ktk gemu na mtoto, jamaa ananyonya nido! Ghafla mtoto wa watu kaona kama ameng'atwa na jamaa! Anapiga kelele wapi, daah kumbe jamaa alikuwa na kifafa, daah ninavyoandika hivi yule dada alishafariki kwa sababu baada ya kung'atwa aliumia sana, maumivu yaliyomletea umauti
[emoji15]
 
Imagine kama ndo angekuwa kwenye sita kwa sita balaa lake usipime.
 
Wazee usiombe likukute lililonikuta!

Kuna manzi mmoja ni mzuri sana tena kifaa cha haja, tamaa zikanishika nikarusha ndoano vizuri sana baada siku mbili au tatu mtoto akakubali tutoke out! Tukatafuta sehemu tulivu yenye upepo mwanana tukatulia stori za hapa na pale, ajabu mtoto hanywi pombe ikawa faida kwangu nikabaki na chenji nyingi tu.

Muda muafaka baada ya kumbembeleza sana akakubali twende home, mtoto akajipekeka machinjioni mwenyewe. Gemu ya kwanza imeisha mtoto akaenda washroom ghafla nikasikia bonge la mzinga kama gari imepinduka.

Nikakurupuka uchi nasukuma mlango naona mtoto yuko chini anarukaruka kama anakata roho na mapovu kibao mdomoni, nilichanganyikiwa kila kitu nagusa naacha akili imeruka, huyu mtoto kapatwa nini hapa ananifia, nataka nitoke mbio nimuachie chumba nashindwa ikabidi niubane mlango wa chooni akishamalizia ndo nijue sasa nifanyeje.

Kimya kukapita nikajua tayari roho imeenda kwa muumba cha ajabu naona mlango unafunguka mtoto anatoka kidogo nifunguke mbio nikakaza roho! nikamuuliza ulipatwa nini hata yeye hajui.

Nikamwambia vaa haraka sana ulikuwa usiku mzito sana nikamrudisha kwao, baadae ndo nikapata stori ana tatizo la kifafa daah! Sitasahau
sasa hivi kila msichana kabla ya yote swali la kwanza lazima nimuulize ulishawahi kuanguka wewe! Akijibu ndio niliteleza kwenye tiles najua huyu mzima.
Mkuu ubarikiwe!umeniongezea siku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
si bora hiyo,
kuna jamaa alikuwa ktk gemu na mtoto, jamaa ananyonya nido! Ghafla mtoto wa watu kaona kama ameng'atwa na jamaa! Anapiga kelele wapi, daah kumbe jamaa alikuwa na kifafa, daah ninavyoandika hivi yule dada alishafariki kwa sababu baada ya kung'atwa aliumia sana, maumivu yaliyomletea umauti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wazee usiombe likukute lililonikuta!

Kuna manzi mmoja ni mzuri sana tena kifaa cha haja, tamaa zikanishika nikarusha ndoano vizuri sana baada siku mbili au tatu mtoto akakubali tutoke out! Tukatafuta sehemu tulivu yenye upepo mwanana tukatulia stori za hapa na pale, ajabu mtoto hanywi pombe ikawa faida kwangu nikabaki na chenji nyingi tu.

Muda muafaka baada ya kumbembeleza sana akakubali twende home, mtoto akajipekeka machinjioni mwenyewe. Gemu ya kwanza imeisha mtoto akaenda washroom ghafla nikasikia bonge la mzinga kama gari imepinduka.

Nikakurupuka uchi nasukuma mlango naona mtoto yuko chini anarukaruka kama anakata roho na mapovu kibao mdomoni, nilichanganyikiwa kila kitu nagusa naacha akili imeruka, huyu mtoto kapatwa nini hapa ananifia, nataka nitoke mbio nimuachie chumba nashindwa ikabidi niubane mlango wa chooni akishamalizia ndo nijue sasa nifanyeje.

Kimya kukapita nikajua tayari roho imeenda kwa muumba cha ajabu naona mlango unafunguka mtoto anatoka kidogo nifunguke mbio nikakaza roho! nikamuuliza ulipatwa nini hata yeye hajui.

Nikamwambia vaa haraka sana ulikuwa usiku mzito sana nikamrudisha kwao, baadae ndo nikapata stori ana tatizo la kifafa daah! Sitasahau
sasa hivi kila msichana kabla ya yote swali la kwanza lazima nimuulize ulishawahi kuanguka wewe! Akijibu ndio niliteleza kwenye tiles najua huyu mzima.
Mkuu cha msingi sio kuwakimbia Bali ni kujifunza namna ya kuwahudumia si umesema baadae akaamka ungeendelea na game
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom