Jamaa nimecheka kinoma hata kifaa hajui na hatakomaa na tabia hiyoIngia Google andika epilepsy usome chanzo dalili na managements zake ..hakuna mapepo ni imani za watu tu
Ufafanuzi mzuri ila hapo kwenye kumweka alalie upande huku uso umeangalia chini afu hapo hapo usijaribu kumshika, napata kigugumizi cha kuelewa.Mkuu ulikosea. Labda ni kwa sababu ya kutokufundishwa jinsi ya kufanya first aid.
Ilitakiwa uangalie mazingira aliyoanguka kama ni salama. Kama ni sehemu salama, ilikuwa uhakikishe kwamba amelala kwa upande huku mdomo ukitizama chini ili kama kuna kitu kitatoka mdomoni basi kimwagike chini. Ila usijaribu kumshika au kulazimisha afanye chochote anapokuwa katika hali ya kukakamaa.
Lakini pia ni muhimu kunote muda alioanza kupatwa na kifafa. Kama kitachukua zaidi ya dakika tano, basi omba msaada.
Mtu mwenye hali kama hiyo anahitaji upendo na sio kumfukuza.
Ufafanuzi mzuri ila hapo kwenye kumweka alalie upande huku uso umeangalia chini afu hapo hapo usijaribu kumshika, napata kigugumizi cha kuelewa.
Hahahaha!! Kila kilicho kizuri hakikoswi kasorodah...kuna demu mmoja wa kichaga amechanganyika na kisukuma ni mweupe mrefu mzuri lakini akilala kitandani lazima akojolee godoro, ni shida
masikini weeeeesi bora hiyo,
kuna jamaa alikuwa ktk gemu na mtoto, jamaa ananyonya nido! Ghafla mtoto wa watu kaona kama ameng'atwa na jamaa! Anapiga kelele wapi, daah kumbe jamaa alikuwa na kifafa, daah ninavyoandika hivi yule dada alishafariki kwa sababu baada ya kung'atwa aliumia sana, maumivu yaliyomletea umauti
Mkuu ulikosea. Labda ni kwa sababu ya kutokufundishwa jinsi ya kufanya first aid.
Ilitakiwa uangalie mazingira aliyoanguka kama ni salama. Kama ni sehemu salama, ilikuwa uhakikishe kwamba amelala kwa upande huku mdomo ukitizama chini ili kama kuna kitu kitatoka mdomoni basi kimwagike chini. Ila usijaribu kumshika au kulazimisha afanye chochote anapokuwa katika hali ya kukakamaa.
Lakini pia ni muhimu kunote muda alioanza kupatwa na kifafa. Kama kitachukua zaidi ya dakika tano, basi omba msaada.
Mtu mwenye hali kama hiyo anahitaji upendo na sio kumfukuza.
huyo mbona issue ndogo...unamtandikia nylon kama mtoto mchanga..afu unamwambia asilale na chupi...dah...kuna demu mmoja wa kichaga amechanganyika na kisukuma ni mweupe mrefu mzuri lakini akilala kitandani lazima akojolee godoro, ni shida
uyo inatakiwa uwe unamlaza chini...kitndan apande wakat wa tendo tudah...kuna demu mmoja wa kichaga amechanganyika na kisukuma ni mweupe mrefu mzuri lakini akilala kitandani lazima akojolee godoro, ni shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uroho wa papuchi utawapeleka pabaya kha! Mbombo ngafuWazee usiombe likukute lililonikuta!
Kuna manzi mmoja ni mzuri sana tena kifaa cha haja, tamaa zikanishika nikarusha ndoano vizuri sana baada siku mbili au tatu mtoto akakubali tutoke out! Tukatafuta sehemu tulivu yenye upepo mwanana tukatulia stori za hapa na pale, ajabu mtoto hanywi pombe ikawa faida kwangu nikabaki na chenji nyingi tu.
Muda muafaka baada ya kumbembeleza sana akakubali twende home, mtoto akajipekeka machinjioni mwenyewe. Gemu ya kwanza imeisha mtoto akaenda washroom ghafla nikasikia bonge la mzinga kama gari imepinduka.
Nikakurupuka uchi nasukuma mlango naona mtoto yuko chini anarukaruka kama anakata roho na mapovu kibao mdomoni, nilichanganyikiwa kila kitu nagusa naacha akili imeruka, huyu mtoto kapatwa nini hapa ananifia, nataka nitoke mbio nimuachie chumba nashindwa ikabidi niubane mlango wa chooni akishamalizia ndo nijue sasa nifanyeje.
Kimya kukapita nikajua tayari roho imeenda kwa muumba cha ajabu naona mlango unafunguka mtoto anatoka kidogo nifunguke mbio nikakaza roho!
nikamuuliza ulipatwa nini hata yeye hajui.
Nikamwambia vaa haraka sana ulikuwa usiku mzito sana nikamrudisha kwao, baadae ndo nikapata stori na ana hilo tatizo la kifafa daah! Sitasahau
sasa hivi kila msichana kabla ya yote swali la kwanza lazima nimuulize ulishawahi kuanguka wewe! Akijibu ndio niliteleza kwenye tiles najua huyu mzima.