Usiombe ukatolewa out na Mwanaume Mhasibu

hapana inakuwaga hivi,kwa mfano mnenguaji ameajiriwa na bendi kwa mwezi mshahara laki 5.
Sasa anapoenda jukwaani kucheza kuna washabiki wataenda kumtunza akipata laki 1 hii ndio hela ya kulia bata na kuhonga kwa sababu alipewa tu washabiki
Na mnenguaji ananengua kwenye maandalizi Miezi 3
Bora mnenguaji kuliko mkalia kiti(mhasibu)
 
Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi?

Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya. Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini

Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi, kanisumbua wiki 2 nikakubali kutoka nae out, alafu ananiletea mambo ya kizamani

Money Penny: mambo gan tenaaa?!

Mrembo: bili ilipokuja ananiambia tugawane malipo nusu Kwa nusu, yeye alipie nusu na Mimi nilipe nusu

Money Penny: bili ulikuja bei gan?!

Mrembo: laki 1 nanusu

Money Penny: na wewe 75 haukuwa nayo au?!

Mrembo: nilikuwa nayo, lakini yeye ndio kanisumbua, alitakiwa alipe yeye sio Mimi, Yani wanaume wengine ovyo Sana, anasema yeye NI mhasibu WA kampuni moja hapa mjini, nashangaa Leo kumkuta hapa Kawe🙄

Wahasibu WA skuhizi sijui wamekuwaje?!
Siwashauri wadada kutoka out na mhasibu

Money Penny: mkayamalizaje na Kaka WA watu?!

Mrembo: sikulipa, nikaondoka nikamwacha ananiangalia,

Jamani wahasibu wenzangu WA kiume mnafeli wapi?! Au ndio uchumi WA Kati?


Anayeomba kwenda out should take responsibility ya cost, mwingine akipenda, hili halihusiani na Uhasibu...

Unapo suggest jambo unalibeba ki gharama....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom