Usiombe udaiwe Naijeria

Wapiga NDUMBA NA FISI KIBAOOO
 
Sasa kwanini wanavaa hivyo, au ndio vazi resmi la wafuga fisi?
 
Dawa ya deni ni kulipa deni, usisubiri mpaka fisi apewe amri.
 
Hawajamkopesha cash hao..sumthing is behind
 
Jamani hawa Fisi kama wanasikiliza kitu vile. Mhhhhh, kweli Wnaija si mchezo bana.
Hawa fisi wanapatikana kijijini cha Harar,Ethiopia. Ni kivutio cha utalii sasa sielewi imekua je tena.Google Harar Hyenas mmmfffyyyyy
 

Kwa asili fisi ni mwoga sana...kwetu tunaamini ukimkurupusha fisi anaweza akakuharishia usoni wakati anakimbia kwa hofu, kwa hiyo uwe makini....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…