chotara wa fisi na mbwa.
Hawajamkopesha cash hao..sumthing is behindKuna WaNaigeria walimkopesha jamaa wa bongo hapa London ,yule jamaa akarudi zake Dar ,aloo Wanaigeria walimfuatilia na kumuingilia mpaka kijijini ,aliwakopa dola 20000/- ila hawakuwa na sumile na salama jamaa alikwishapata habari kuwa watu wanamfuata ili kumtoa roho kama hakuwalipa,ndio akawahi kuzikusanya na kuziweka tayari na ndio salama yake ,jamaa hawana mchezo wanapokukopesha.
Hawa fisi wanapatikana kijijini cha Harar,Ethiopia. Ni kivutio cha utalii sasa sielewi imekua je tena.Google Harar Hyenas mmmfffyyyyyJamani hawa Fisi kama wanasikiliza kitu vile. Mhhhhh, kweli Wnaija si mchezo bana.