Hapa ni Nigeria sio Tanzania
Fisi au Hyaena. Huyu anafahamika katika Kiingereza kama Spotted Hyaena; Family Hyaenidae; Species: Crocuta crocuta Fisi hawa ufugwa katika nchi nyingi za Kiafrika Hususan Nigeria. Kwa Tanzania inayumkinika kufugwa maeneo ya Kanda ya Ziwa
hasa Usukumani????????????????
![]()
....Nitamtafuta huyo mzee kuna jamaa namdai chapaa yangu aise mwezi 5 sasa kila nikimfata ananipa mistari tu na ninamuona town kati anakula bata tu...Ngoja!!Lol! Hii kali. Kutumia Fisi kumdai mtu?