Mzee mmoja akiwa amekaa na fisi wake kwenye kijiji cha Rinka, nchini Naijeria. Watu wanaodai wenzao hutumia wanyama wa kutisha kama fisi kudai wadaiwa. Ukikataa kulipa basi tena....hakuna msalie mtume... fisi anaachiliwa....

Kuna WaNaigeria walimkopesha jamaa wa bongo hapa London ,yule jamaa akarudi zake Dar ,aloo Wanaigeria walimfuatilia na kumuingilia mpaka kijijini ,aliwakopa dola 20000/- ila hawakuwa na sumile na salama jamaa alikwishapata habari kuwa watu wanamfuata ili kumtoa roho kama hakuwalipa,ndio akawahi kuzikusanya na kuziweka tayari na ndio salama yake ,jamaa hawana mchezo wanapokukopesha.
weee mkuu huyo jamaa natumaini atakuwa wa kwetu maana adimu hao wana jf usafiri huo hapo anazuga aka fisi nyie munafikiri kwa nini amemziba mdomo anajaribu kumfananisha na dog kwa jamii ila huyooo we acha tu kifaa muhimu kwetu zaidi ya maji mwilini
Conquest-hata wachina aawakijui hicho mwanangu kitu original:nono: