Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Apr 1, 2014 #1 Mzee mmoja akiwa amekaa na fisi wake kwenye kijiji cha Rinka, nchini Naijeria.Watu wanaodai wenzao hutumia wanyama wa kutisha kama fisi kudai wadaiwa. Ukikataa kulipa basi tena....hakuna msalie mtume... fisi anaachiliwa....
Mzee mmoja akiwa amekaa na fisi wake kwenye kijiji cha Rinka, nchini Naijeria.Watu wanaodai wenzao hutumia wanyama wa kutisha kama fisi kudai wadaiwa. Ukikataa kulipa basi tena....hakuna msalie mtume... fisi anaachiliwa....
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Apr 1, 2014 #2 Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, wadaiwa wangu sugu dawa yao yaja, nikimiliki watano kama hawa heshima itarudi tu
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, wadaiwa wangu sugu dawa yao yaja, nikimiliki watano kama hawa heshima itarudi tu
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Apr 1, 2014 #3 Manake nini?
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Apr 2, 2014 #4 Walimu wa Tanzania wangewafuga hao ili wachoke kukopwa!
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Apr 2, 2014 #5 WAHEED SUDAY said: Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, wadaiwa wangu sugu dawa yao yaja, nikimiliki watano kama hawa heshima itarudi tu Click to expand... Hahahaha lazima wa double deni lol Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
WAHEED SUDAY said: Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, wadaiwa wangu sugu dawa yao yaja, nikimiliki watano kama hawa heshima itarudi tu Click to expand... Hahahaha lazima wa double deni lol Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,018 Reaction score 77,360 Apr 2, 2014 #6 Hivi kumbe fisi anaweza kutumika kama MAJEMBE AUCTION MART kwenye kudai madeni?