Usiombe Tumbo Likachafuka ukiwa Porini!!

Usiombe Tumbo Likachafuka ukiwa Porini!!

Mbona naona vitu vyeupe mithili ya tui la nazi, kala nini huyu mtu jamani asije akawa ana kipindupindu
 
Umejuaje kama tumbo lilichafuka???? inawezekana ni utaratibu wake wa kawaida. halafu vile vile anaonakana ni kamanda inaweze alikuwa hapo ni vitani,amesikia bunduki zimenyamaza ndo akaona ni nafasi ya kijisave.

Kweli, ndugu zetu wa Tanga hawanaga utaratibu wa kuchimba vyoo
 
Huyu mzoefu maana hana aibu ya kujificha.
Ila porini raha una achia pwaa hakuna kuremba remba.

Umenichekesha wewe! Ah! Kwani wewe huwa unaremba?
 
hahahahahah!
Isikieni tu kwa mtu hii hali,
Ikupate safarin alafu uko na wakwe ndani ya basi!!!
 
Back
Top Bottom