Usiombe Tumbo Likachafuka ukiwa Porini!!

Usiombe Tumbo Likachafuka ukiwa Porini!!

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
Jamaa alizidiwa kwelikweli...
 

Attachments

  • kimba.jpg
    kimba.jpg
    20.5 KB · Views: 408
Sasa ndio iteremshe 'samadi' yake ktk chanzo cha maji? #priceless.
 
Umejuaje kama tumbo lilichafuka???? inawezekana ni utaratibu wake wa kawaida. halafu vile vile anaonakana ni kamanda inaweze alikuwa hapo ni vitani,amesikia bunduki zimenyamaza ndo akaona ni nafasi ya kijisave.
 
Huyo anaonekana ni mwanajeshi, sijui alikuwa vitani...
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Huyo ni kada wa magamba,si unaona T-Shirt yake, hovyo kabisa magamba.
 
Huyo ni kawaida yake. Mbona anajikamua kabisa. Hata hivyo sio mstaarabu angeingia kwa ndani kidogo, hapo ni njiani kwa wapita kwa miguu.
 
Huyo jamaa ni kawaida yake, nimeshamfumania mara kibao akifanya hy mambo af cha ajabu choo kwake kipo..
 
aiseeeeeeehhhh japokua hiyo kitu haina mjanja ila jamaa kakosa ustaarabu
 
environmental friendly ...... jamaa anaongeza mbolea kwenye mimea...
 
Mbaya zaidi awe amekula mapera hapo ndo inakuwa shughuli kweli kweli
 
huyu jamaa tena anakipiga kitu uchochoroni..! yani hapo wakaja watoto ni balaa..! sijui atavaa fasta fasta bila kujisafisha huko kwenye nanii yake..! ili kuficha aibu..?
 
Huyu mzoefu maana hana aibu ya kujificha.
Ila porini raha una achia pwaa hakuna kuremba remba.
 
Kichwa yake mbovu si angeingia walau mahala ambapo sio njia ya miguu ya watu wengine, sawa ni mbolea ila hiyo ni njia ya wenda kwa miguu aingie huko kwenye vichaka, mwambie azoe
 
Back
Top Bottom