Kessy Hamisi
Member
- Jun 25, 2012
- 24
- 8
Jamaa karudi toka safari kwa kuwa alikuwa na hamu sana alipofika nyumbani akaelekea mpaka chumbani kwake...mara akashtuka kukuta watu wawili wamelala(mwanamke na mwanaume) na sio mmoja kama alivyozoea mara akapandwa na hasira akachukua rungu na kuanza kuipiga ile miguu na kurudi tena sebuleni...mara akamkuta mkewe sebuleni na mkewe akamjibu "mume wangu baba na mama wamekuja kutusalimia na kwakuwa wamechoka na safari nimeona si vibaya kuwaacha walale chumbani kwetu.Ghafla mwanaume akajifanya kazimia