Usiombe ikutokee

Kessy Hamisi

Member
Jun 25, 2012
24
8
Jamaa karudi toka safari kwa kuwa alikuwa na hamu sana alipofika nyumbani akaelekea mpaka chumbani kwake...mara akashtuka kukuta watu wawili wamelala(mwanamke na mwanaume) na sio mmoja kama alivyozoea mara akapandwa na hasira akachukua rungu na kuanza kuipiga ile miguu na kurudi tena sebuleni...mara akamkuta mkewe sebuleni na mkewe akamjibu "mume wangu baba na mama wamekuja kutusalimia na kwakuwa wamechoka na safari nimeona si vibaya kuwaacha walale chumbani kwetu.Ghafla mwanaume akajifanya kazimia
 
ishawahi kupostiwa hapa hapa jukwaani, uwe unasomaga tread za zamani ili utoe ambayo ni mpya
 
kheir ya wewe uliekumbusha,mimi hata cjaelewa kitu hapo

Nitafute ntakusimulia kwa mdomo na kama usipoelewa tena nitamwita mwalimu akueleweshe na kama utakuwa haujaelewa tena nitakuonyesha video yake na kama itakuwa haujaelewa tena nitakuandikia kwa lugha nyingine ikiwa haujelewa tena geuza screen usome upya na kama hapo haujaelewa usisome tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom