Usiombe Hii Ikakukuta Kama Wewe Ni Mwanaume

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
19382.gif
 
Kuna maumivu na MAUMIVU....Haya aliyopata jamaa ni kama kuunguzwa na uji wakati UKIUMEZA; unatulia hadi maumivu yaishe yenyewe maana huwezi kupuliza, wala kuchua.....USIOMBE IKUKUTE....Maumivu yake yanakaribiana na KUBANWA NA ZIPU kwa sisi watoto wa kiume umalizapo kupata haja ndogo.....
 
Mmmh hiyo ya kawaida, ingekuwa mpira wa miguu, duuh sipati picha
 
Back
Top Bottom