Mwanaume oa mke anayekupenda hata kama wewe humpendi. Utaishi kama mfalme

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Utajiburuzia unavyotaka.
Utamwendesha unavyotaka.
Utachepuka na kuzaa nje tani yako.
Utamwachisha mpk kazi na ataacha.

Na kamwe hutomsikia anasema chochote, maana anakupenda mpk kafika mwisho.
Hatojaribu kukunyima tendo la ndoa.

Ukiona mwanamke asiyekupenda lkn wewe mwanaume ndiyo unampenda sana mkeo ndiyo mambo ya kunyimwa tendo hutokea.

Mwanaume utaendeshwa mpk ukome.

Ni mimi kungwi la kitaa Sexless .
 
Nakuunga mkono 100%, ila hayo mambo ya uonevu na kumburuza hapana kabisa. Akipatikana wa hivyo anastahili kutunzwa na kuoneshwa upendo wote.
 
Utajiburuzia unavyotaka.
Utamwendesha unavyotaka.
Utachepuka na kuzaa nje tani yako.
Utamwachisha mpk kazi na ataacha.

Na kamwe hutomsikia anasema chochote, maana anakupenda mpk kafika mwisho.
Hatojaribu kukunyima tendo la ndoa.

Ukiona mwanamke asiyekupenda lkn wewe mwanaume ndiyo unampenda sana mkeo ndiyo mambo ya kunyimwa tendo hutokea.

Mwanaume utaendeshwa mpk ukome.

Ni mimi kungwi la kitaa Sexless .
Hoja naunga mkono ila sababu sijazikubali maana ni za kinyanyasaji sana. Mke akikupenda nenda katoe shukrani kwa Mungu akupe akili za kuishi nae ufaidi tunda.
 
Back
Top Bottom