Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,046
- 1,349
Mwanaume usiogope kuwa na machaguzi yako
hii dunia sio ya waoga
Siku hizi kuna wanawake wana list ndefu kama CV ya kazi:
Anataka mwanaume mwenye pesa, gari, nyumba, connection, akili, nguvu… full package!
Ukiuliza :
“wewe unaoffer nini?”
Anabaki na mwili na vibes tu.
Hapo ndio mwanaume unapaswa kuamka!
Usikubali kushushwa kiwango kwa sababu ya njaa ya mapenzi.
Ukishajishusha, utatumika na utatupwa.
Kama unataka bikra , tafuta bikra.
Usione aibu. Hiyo ni standard yako.
Usioe ambaye amezunguka kila kona halafu anataka kutulia kwako kama “final destination”.
Amepitiwa na wapenzi 10+ hakutulia nao wewe utakuwa na special gani atulie kwako ?
Mwanamke aliyelala na wanaume 20+ ana historia ya kutoa mimba nyingi achana naye
Hutambadilisha atakubadilisha wewe
Mwanaume unatakiwa kuchagua, sio kuchaguliwa.
Usikubali kuwa option ya mwisho ya mtu.
Ukijishusha leo kwa sababu ya tamaa…
kesho utalia kimya kimya ukijutia uamuzi wako.
Abuuabdillah ✍️