Mtu mwenye hela hata kama akifirisika hawezi kuwa sawa na Kapuku asie na kitu, ni lazima kuna vitu au asset atakuwa nazo tofauti na Apeche Alolo asie na kitu kabisa.kuna kupanda kwa maisha na kushuka unaweza ukawa nazo hela ilankuna wakati upepo utakubadilikia
NAKAZIA HAPAKataa ndoa, tunza furaha yako
Upepo ukbadilika kipato kiashuka unachapiwa na wenye nazo huko mtaani kwakokuna kupanda kwa maisha na kushuka unaweza ukawa nazo hela ilankuna wakati upepo utakubadilikia
kama wengine tusingeamua kuowa na tusingeowa kabisaa.....system ilipania kutunyoosha na kutukomoa kabisaHabari zenu wakuu,
Kuoa ni zaidi ya upendo, kuoa ni majukumu na sio kuitana Babe au Mahabuba.
Kama hujajipata tafadhali nakuomba usiikimbilie Ndoa, maana utaumia na kuichukia hiyo Ndoa kilasiku kwenye maisha yako. Maisha ya ndoa yanahitaji pesa za kilasiku na hilo jukumu ni la kwako wewe Mwanaume na sio mwengine, kwahyo hakikisha kuwa unakipato cha kueleweka ili kuepusha matatizo mbeleni.
Kila mtu ana ndoto za kuwa na ukwasi kwenye maisha yake, unapooa wakati hujajipanga huenda ukashindwa kufikia hizo ndoto kwa kiasi kikubwa.
Nimeona baadhi ya vijana wenzangu wakioa lakini mwisho wa siku wanazitesa familia zao kwa Njaa, maana kilasiku wanalia shida kusaidiwa hela kulisha familia zao.
NB. KUOA NI MAJUKUMU, JIPANGE KABLA YA KUYATIMIZA HAYO MAJUKUMU.
Wapii?Mabinti wema bado wapo Mkuu.
Aisee! Sio rahisi kipato kupotea kama mnavyosema wakuu.Upepo ukbadilika kipato kiashuka unachapiwa na wenye nazo huko mtaani kwako
😂😂😂Wa kupigia puchuuBado nitachagua ndoa, muoe vijana mnaogopaje changamoto za ndoa na bado mnajiona ni wanaume timilifu,mwanaume ana sifa moja kuu ya kupambana na changamoto zinazomkabili katika maisha vijana mnaogopa ndoa najiuliza uanaume wenu ni wa faida gani
Upo sahihi Mkuu, ila kujipanga ni lazima.Bado nitachagua ndoa, muoe vijana mnaogopaje changamoto za ndoa na bado mnajiona ni wanaume timilifu,mwanaume ana sifa moja kuu ya kupambana na changamoto zinazomkabili katika maisha vijana mnaogopa ndoa najiuliza uanaume wenu ni wa faida gani
Sawa Mkuu, ila Kinga ni bora zaidi.Jamani hizi mada za ndoa zimekua nyingi sana na zote zinawakatisha tamaa vijana.Hebu tuwaache vijana waoe hakuna jambo linalo kosa changamoto.Jamani ndoa zinachangamoto nyingi na tofauti tofauti lakini isitufanye tuogope ndoa sasa familia bora zitajengwa na kina nani km sio sisi.Njooni na mada hata za huyu shemeji yenu ataniua kwa mapishi au mahaba[emoji41]
Kuiipanga hiyo ni kanuni lazima uwe nacho cha kuweza kuweka mambo ya familia yaendeUpo sahihi Mkuu, ila kujipanga ni lazima.
UNAWEZAJE KUOA UKIWA HAUNA HATA KITANDA AU MSOSI WAKO MWENYEWE UNAKUPIGA CHENGA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue