Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,968
- 46,624
Unatumia simu kwa uogauoga ili isidondoke kisa itakapo kuja mpya ukabadilishe? Huo ni umasikini. Tumia simu inapokuja mpya huna haja ya kuibadilisha tafuta mtu umpe/muuzie igawe au iweke kama makumbusho kisha chana wallet ukanunue mpya udhihirishe umwamba wako unaousema hapoExcuse za watu wasio na hela zinachekesha sana,nasubiria ifike kwa hamu apa nipeleke 12pro nipewe 13pro,lazima kieleweke
nasubiria ifike kwa hamu apa nipeleke 12pro nipewe 13pro,lazima kieleweke



