Usinunue iphone 13

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
723
544
Aisee apple ni wajanja sana

Mabadiliko ni madogo sana kwa iPhone 13

Bei yake iko juu sana

Nimeskiliza kwa makin uchambuz wake

Kwa kifup hakuna jipya

MAMBO MAPYA NDANI YA IPHONE 13
 
Aisee apple ni wajanja sana

Mabadiliko ni madogo sana kwa iPhone 13

Bei yake iko juu sana

Nimeskiliza kwa makin uchambuz wake

Kwa kifup hakuna jipya

MAMBO MAPYA NDANI YA IPHONE 13

Mabadiliko sio makubwa sana ila yananitosha kunifanya ninunue Iphone 13 kww sababu zifuatazo.
1. 120hz refresh rate. Nimetumia Samsung S21 na hii refresh rate ni nzuri sana wakati Iphone 12 haina.
2. Kuongezeka kwa 2.5hrs usage kwenye battery life imekaa poa. 12 pro max ni moja ya simu zenye battery life nzuri tu.
3. Night modes kwenye all cameras is a cherry on top
4. Reduced notch ina maanisha battery indicator itarudi pale juu

Kwangu ni hayo tu
 
Nitanunua kwasababu ya storage tu. Kazi zangu nahitaji storage kubwa na ndio iPhone ya kwanza kuwa na 1TB. Baada ya hapo sitanunua smartphone kwa miaka 10 ijayo labda niibiwe.
Mkuu 1TB unatunza nini kwenye simu?

Mimi kwenye simu hua sizidishi 50GB, hapa nina simu ina 256GB najiuliza nitazijaza lini hizi?

Mimi napenda simu kubwa hizi ila sio kwa sababu ya storage, ni kwa sababu ya functionalities zake.

Toka nimeanza kutumia simu nimefanya analysis naona simu za 64GB zinanitosha kabisa sema nyingi za hivyo hazina functionalities nazotaka kama good camera, higher refresh rate, high screen resolution na mambo kama hayo.
 
Aisee nyie ndo mnaojua kutumia simu, yaani hivyo vitu unavyovitaja sina hata kimoja ninachokizingatia. Hiyo camera yenyewe ninaweza kukaa mwezi sijajipiga picha, yaani mtu kama mimi kununua simu ya million ni kufuata mkumbo tu
 
Kuna sababu imesababisha nikapenda simu za camera kubwa, huko nyuma nilikua natumia simu za camera ya kawaida, nikawa napiga piga picha za matukio. Sasa nilikua nimepiga picha na mama yangu, bahati mbaya mama akafariki, sasa zile good moments nilizokua na mama nilipojaribu kuziweka kwenye kumbukumbu kama picha kubwa za ukutani zikawa haziwezekani, zinaharibika, kwa ujumla sio nzuri. Hilo jambo limeniuma sana, nikaamua kuanza kununua simu kubwa tu zenye camera bora kabisa.

Hiyo ndio sababu kubwa nikaona haya maisha tunaishi mara moja, ukipata nafasi ya kuweka kumbukumbu na mtu unaempenda basi hiyo kumbukumbu iishi kwa muda mrefu angalau kwa wakati wa maisha yako.
 
Back
Top Bottom