Mi sioni kama ni big deal kivile! Kosa la kwanza, ni muhimu kujua sheria zilizopo au kanuni za jeshi zinasemaje. Wengi hapa hatujui tunarush tu kucomment na kuwajudge hawa binadamu wenzetu. Ukiangalia picha utaona kuwa wametafuta sehemu ambayo ni faragha kabisa, its not like wanafanyia kando ya barabara ambapo kila mtu anawaona. What if walikua kwenye lunch brake yao? Sheria inakataza watu kupigana mabusu? Think of wapenzi wawili wanaofanya kazi bank au vodacom, hawawezi kufanya hivi wakiwa kwenye brake yao ya lunch? Ni wazi kuwa mpiga picha aliwapiga hii picha kwa kuibia which is a breach of their privacy.
Kosa la pili, unaonekana unahakika kuwa hawa sio mtu na mume just by looking at this picture. What if they are? Jamani vitu vya kawaida sana, we should get used to kissing in public. Kama wangekutwa wamevuana nguo wanapeana mambo labda ningeelewa what all this fuss is about..