Usiniulize nimeipata wapi...

Mbona hana hata namba za uta utambulisho au ndo zile za kupaza sauti kutafuta KICK !!!?
 
Mmmh nani kawapiga picha.
Hapo kazi hawana, ndoa zimevunjika
 



Siyo kama nakataa ila wakati mwingine unaweza kukuta hii ni fetish fulani. Yaani mtu anashikwa na nyege pale tu anapovaa nguo fulani kama kujifanya dokta, polisi, nesi, shoga, nk. Unaweza kukuta hawa jamaa walikubaliana wavae kitrafiki ili stimu ipande na kufanya mapenzi makaburini ama vichakani. Bongo hii, sinema za kina Kanumba mbona zinawaharibu watu.
 

Hii ni original kabisa na ni kati ya kibaha na chalinze...!!!tafakari
 
Binti ndoa yake changa kabisa hana hata mtoto huyu ..inaumaje? I wish mioyo yetu ingekuwa transparent...!!!!
 
mahaba niue na kazi niache

View attachment 191277

hapana chezea tunda
lililo watoa Adam na hawa
bustann
:cool2::cool2::A S wink::sleepy::angry:
 

Pete za ndoa zinauzwa kama njugu Kariakoo. Mabaamedi wengi siku hizi wanazivaa. Afu we dogo acha kurusha watu roho. hii picha imetembea sana whatsapp karibia wiki mbili sasa. na watu wengi wanajua nini kilikuwa kinafanyika....
 
Last edited by a moderator:

Wewe ni Great Thinker wa ukweli....
 

Swali la kujiuliza Pasco! Mtu wa tatu alikuwa nani? Au mafundi simu wameanza kupiga picha!
 
Jamani ya kweli haya? Mbona hata number hawana? si ya kutengeneza hii au ni kuruta wa traffic. Tehe teheeeeee.
 

Kwani umeitoa wapi mshana?
 
Last edited by a moderator:
Nimenyegekaaaaa! aargh... ngoja nitafute mnyonge nimmegee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…