Wee Mshana nawe!, nilipoona nikambilia nikijua kuna bonge la bleking nyuzzz!, kumbe ni picha tuu ya maandalizi ya kazi na dawa!, hapo kuna news gani?!, si ni wako garden baada ya kazi ya kutwa nzima juani!, wangekuwa wako lindo labda!, na pia kupeanza pumziko baada ya kazi ni rukhsa!, liwazo la moyo maofisini rukhsa!, na hata kuchukua jumla imo, ila mmoja atabadilishwa kituo cha kazi!.
Pasco.