aliletewa na mwenzake!blaza mkubwa alikua hapigi kavu na bado alikufa kwa ngoma.. tafakari
Ndiokukushawishi uamini wanaume waaminifu tupo ni kama kumshawishi mkristo aamini kuna majini wema.
niache konyagi?unajua kwanini una kibamia? kwasababu haunywi bia
karibu mkuu
Always seeing is believing, don't believe if your not seeing.its a man's job to put a woman under control.
mbili si nitawahi kurudi home, mi huwa nafika saa 8, kumi na 2 nimetoka. naogopa kero za mama watoto.kunywa Castle mbili kila siku kwa muda wa miezi 6.
pia huwezi kupata kitambi kama hom una huu mzigo, huna haja ya gym.View attachment 405950
mbili si nitawahi kurudi home, mi huwa nafika saa 8, kumi na 2 nimetoka. naogopa kero za mama watoto.
sasa babu hivi unipigi fix kweli hako kakifaa + kasto viongeze dushe kweli. ngoja ninywe supu ya kunde mama watoto kaniandalia labda nitakuelewa.
Mwambie Evelyn Salt anampa hongeraitakua, mana ana wivu sana.
kwahiyo huwa unaenda wapi na mkeo?mamsapu na bar ni vitu viwili tofauti.
duh, kwani jaki na we ndo wale "nilipovua viatu nilivikuta ndani ya friji?"
Una akili sana wewe. Watu wanaweza kutoa lekcha kwa jamaa lakini bado ana afadhali kubwa kuliko Wanaume wengi. Tunawaona huku wanapiga bia, wana Wanawake kila kona, wanawadharau wake zao nk.Mke wako ni among few lucky women, sijui kama anajijua lakini...