Usiniulize kwanini sichepuki

Yaani Mimi ni kama we we ,lakin Mimi nakunywa bar za Jirani na home at a wife akileta taabu ananicheki.mchepuko sio dili kabsa 100%
 
We ni mtu mzima utajua mwenywe na mkeo
kwa mamsapu siwezi kutumia ndom ila nshakuelewa unachomaanisha. nichepuke na niwe natumia ndom. hivi wewe ndo ungekua mamsapu halafu kuna mwanamke JF ananishauri kama wewe huo unaona ni uungwana? kweli nyie hampendani
 
Yaani Mimi ni kama we we ,lakin Mimi nakunywa bar za Jirani na home at a wife akileta taabu ananicheki.mchepuko sio dili kabsa 100%
safi mkuu, agiza kreti
 
.

ukikutana na mwanamke bar mpige bia, mchekeshe mpaka mbavu zivunjike, bambia ubambiavyo, ila mwisho wa siku usije ukaamua kulala nae,
kwanini ununulie wanawake bia na kuwabambia wakati una mkeo nyumbani??
kwanini usiende na mkeo ukamnunulie hizo bia?
 
uko sawa mkuu! inawezekana nimejifunza kitu ila sema sio bar tu hata ligi za mchangani...
 
kwanini ununulie wanawake bia na kuwabambia wakati una mkeo nyumbani??
kwanini usiende na mkeo ukamnunulie hizo bia?
mamsapu na bar ni vitu viwili tofauti.
 
kwa mamsapu siwezi kutumia ndom ila nshakuelewa unachomaanisha. nichepuke na niwe natumia ndom. hivi wewe ndo ungekua mamsapu halafu kuna mwanamke JF ananishauri kama wewe huo unaona ni uungwana? kweli nyie hampendani
Nipo kwenye ndoa na nyie wanaume uwa hamtosheki mnajijua hivyo mm ata mr akisafiri najifanya kumtania usisahau kutumia condom lkn mwenywe najua nn namaanisha
 
kukushawishi uamini wanaume waaminifu tupo ni kama kumshawishi mkristo aamini kuna majini wema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…