Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,225
- 1,679
Nimecheka sana kuna mtu kakoment kwenye uzi mmoja jana kuwa yeye ni supporter wa simba ikiwa tanzania tu ikitoka nje haijuiMabao ya simba yaliuma lakini
Ila tuache story za simba sasa dada Joanah, nilikosa usingizi nikabaki nawaza tu...... ... Goal 10-0 kwenye mechi mbili ni fedheha iliyopita viwango vyote vya tbs
Sent using Jamii Forums mobile app