Usingizi WA Baada ya Bao la Kibabe.

Usingizi WA Baada ya Bao la Kibabe.

Punyeto unapaswa uiache. Najua ni tamu sana maana unaweza kumla mwanamke yoyote unaemtaka katika maisha yako, ila isiwe ndio faraja yako kila siku.

Kama huwezi kuacha piga kwa afya, kwa wiki mara 2 hivi zinatosha. Usifanye kila siku na hata ukifanya usifanya goli zaidi ya moja. Pendelea kutumia mafuta ya mgando, griselini au asali.

Punyeto kwa afya haina madhara kabisa ila kama unavyojua kitu chochote kilichozidi kina madhara, usifanye mara nyingi sana, mara 2 tu kwa wiki. Ukizidiwa sana mara 3. Yaani baada ya siku 2 unafanya.

Nilipiga punyeto ila nikaacha baadae. Nilikua napiga kipindi niko shule hasa Advance na chuo mara moja moja ila nilipoanza kushika hela nikaacha maana wanawake walianza kuja wa kutosha sikuona tena umuhimu wa punyeto. Nilishasahau kama nilikua nafanya hiyo kitu.

Asikudanyanye mtu siku ya kwanza napiga punyeto bafuni nilihisi utamu usio na kifani, nilihisi kutetemeka kama naumwa dege dege hadi nikakaa chini, nilihisi kunena kwa lugha huwezi kuamini. Ilikua hatari sana.
 
Kwanini lakini?
ask_20190203_214317.jpeg
 
Back
Top Bottom