mchecheto
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 1,532
- 1,479
hii kitu nimeweza kuacha namshukuru Mungu,,kingine nilichoweza ni kuacha porn ..sasa anelekea kuacha ku follow upupu wa page za uchi huko insta,,maendeleo ni mazuriAki vile punyeto ni adui mmoja wapo wa maendeleo..