Usingizi umepaaaaa

Usingizi umepaaaaa

Kokorikoooooo........au milio ya bundi tu saa hz....?nani kausingizi kamemgomea kama mm yaani na blockbuster movie"Analyise this and That.."zote mbili mwanzo mwisho bado tu...dah,sijui nililala na bundi gani....?
 
leo na mimi usingizi umegoma, too bad naona wengine wote wamelala leo. Nakesha na nani mie jamani?
 
Mtandao ulipotea! Huku kukesha kwa leo, tabu tupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom