Usingizi umepaaaaa

Usingizi umepaaaaa

C6 mdogo wangu wa moyoni, nakupenda kuliko pipi kaka mzuri.............
naomba udownload iyo muvi unitumie wangu yaani nafwa kwa kihoro mimi nimejaribu nimejikuta napata makorokocho usipime mwisho avast ikaniambia imedetect threat nikaogopa na kuicommand iache kulitafuta ilo file.

plzzzzzz kaka mzuri do me a favor............nakupendajeeee sasa?
 
Last edited by a moderator:
download basi af nitumie ilo file mie nijiangalizie wangu??
nimeshindwa kabisa sijui @c[SUB]6[/SUB] atanisaidia...........

Nenda Science & Tech Forum kachukue maujanja pale.

BTW Kumbe tuko wengi lindo eeh?
 
Dah...nilijua nipo peke yangu,kitu kimekata nagala gala tuu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom