nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 940
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa!, Huuuu!. Ahsante Sana, ila kumuka kurudisha chenji yangu sasa. Teh teh teh!.Ila yule striker wa banana republic ndo alitoa kali,maana aliwapiga mabeki wote chenga akabaki na kipa,usingizi mkali ukampitia akalala huku kasimama mpaka mpira ukaokolewa