Umenikumbusha mtt wa kaka yangu alilala nyuma ya kabati la tv. Tukimtafuta kidogo tupige simu police. Nilicheka sana
Hahahaha!, pia Kuna mtoto wa jirani yangu aliingia kwenye begi kujificha usingizi ukamteka. Walipgawa sana kwani mtu alikuwa karibu Na mlango wa nje alithibitisha kuwa mtoto hajatoka nje!.
Nimejikuta nacheka pekeyangu
We acha tu huwa na kawaida ya kulala mchana sa siku hiyo alicheleweshwa sasa hapo alipokua anacheza akalala hapohapo. I wish ningekua na video camera ningechukua video
Siku moja nikiwa shift mochwari nilipitiwa na usingizi kwa uchovu wa jana yake tulikesha club, zikaletwa maiti mbili za fumanizi zimechinjwa kabisa halafu zikachanwachwana hasa matumbo yote nje
Jamaa walipoingia wakazibagwa miguuni mwangu kimyakimya halafu jamaa wakatoka nje wakagonga mlango kwa nguvu...hamad lahaula nakutana na maiti bila vichwa...!