Usimuone vile! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usimuone vile!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Dec 28, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ...amesoma sana,ana PHD yule! Yaani P.H.D=Passed with High Difficulty!
   
 2. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ...amefanikiwa sana kwa sababu alikuwa anajituma sana kazini.Kutokana na kufanya kazi kwa bidii,John ana akiba ya milioni 15 benki.Kati ya hizo milioni 15,milioni 14.8 alizipata kama urithi baada ya kifo cha mjomba wake.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yah tofauti na akiba hiyo ya bank amefanikiwa kujenga nyumba kule Kinondoni na amenunua gari la kutembelea.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapa mnaongelea tangazo la safari ama?
   
Loading...