Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,823
- 113,403
Usimkabidhi mtu uwezo wa kuamua furaha yako, nilishasema na nasema tena "hata kama ni mimi niachwe tu nikikamatwa msaliti"Mimi namrudia mkuu ,unajua kuna mda inabidi uangalie furaha yako ilipo bila kujalisha kikwazo😊
Kwangu yanayo nitasamehe ila sio kuendelea nae, labda nilogwe ila sio akili yangu timamu.Hayanaga Muongozo....
😅😅😅SawaKwangu yanayo nitasamehe ila sio kuendelea nae, labda nilogwe ila sio akili yangu timamu.
Makiwendo😅😅😅Sawa
😄😄😄😄Nimecheka kwa nguvuu...tunakuandalia mnara wakooo👌😄Mkombozi wenu nimefika 😁
Nipeni huo ut....l...z(e e i) mi mnara sitaki😄😄😄😄Nimecheka kwa nguvuu...tunakuandalia mnara wakooo👌😄
Akili za watoto...
View attachment 3067605
Kwa wanaume wote, hii Kauli ya "Never go back to the woman who cheated on you" ni rahisi sana ikiwa kwa Mwenzako, ila isiwe kwako, ni ngumu ,mno.
Kwenye mahusiano as a man ,unatakiwa uwe mbinafsi (ufikirie wewe na future ya familia yako) hakuna mwanamke ana cheat kwa bahati mbaya, kabla hujamsamehe kumbuka wakati analiwa ilichomoka na akairudishia mwenyewe. Kumbuka kuna wakati jamaa alikuwa amechoka anachomoa mkeo anamwambia ingiza hapo hapo.
Kumbuka kuna wakati jamaa alikuwa anamchapa mkeoa alafu anamwambia mkeo "akutukane' na ukatukanwa kweli kweli!
Ukikubali Kurudi Kwa Mwanamke aliyekusaliti ni sawa na kumpa Fisi akutangazie Injili ya Mifupa. Ataku-cheat tena na tena.
Wakati unajipanga kurudi kumbuka!
1 :She bj him
2: She asked him to have no mercy on her "punani" "nyau"
3: It's slipped and she put it back while holding his waist.
4: She daaah !!! brother nimeishiwa nguvu kiufupi kuliko urudi ukawe fala mara mia bora ukajipige selfie na sabuni ya kipande.
Yaan umemkuta mke wako/mwanamke wako analombwa hapo kesho unamsamehe? Hapo mm labda yeye ndio awe kanioa labda. Kwanza mwanamke mpk anaamua kukucheat ujue ww kuna shida pahali, na hapo ujue kashapambana sana kujizuia lakini hisia zimeishinda Akili.
"kwanza mwanamke mpaka anaamua kukucheat ujue wewe Kuna shida pahali" Kuna kitu bado hujafundishwa hapa dunian.
NA HATUKWAMBII MPAKA KIKUKUTE
Hakuna mwanaume anayechiti.Kwenye mapenzi Mwanamke na mwanaume hawajawai kua sawa.Vipi Mwanaume kumchiti mkewe????
Wanaume wa kweli wanazidi kupungua kwa kasi.Wengi ni watu wenye jinsia ya kiume ila sio wanaume kwasababu wengi wetu ni dhaifu sana.Ukiona mwanaume anaona ni sawa mwanamke wake akichepuka jua hakuna mwanaume hapo.Halafu wanaume mabwege kama wewe huwa mnasifiwa kweli na wanawake, ila amini na kwambia hakuna mwanamke yeyote humu ambaye atataka mtoto wake wa kiume awe na akili kama zako
Nini kilitokea mkuuMe alinicheat nikaludiana nae aisee najuta.......... Tena najuta
Kwamba JF ni kichaka😀Una hakika na hilo?
Mimi sijui mkuuKwamba JF ni kichaka😀
Naonaga posts zake,nika conclude kuwa ni Ke but 🤷🏼♂ Who knows...
MtumishiNipeni huo ut....l...z(e e i) mi mnara sitaki
Mtumishi 💦 haina baunsaMtumishi
Usimguse mtoto wa watuMtumishi 💦 haina baunsa
Ngoja niongee nae kwanzaUsimguse mtoto wa watu
Ishia hapo hapoNgoja niongee nae kwanza
hii ngoma ni ngumu kwa kuwa pia inategemea wewe ndo ulikuwa wa kwanza kwake kama hapana samehe songeni mbele japokuwa ni pain fullNikigundua mke ametoka nje ya ndoa
, habari nae imeisha