Usimrudie Mwanamke aliye-cheat , Never!

Una ndoa kaka.

Una watoto. Kama unayo na una watoto sio rahisi kumuacha mwanamke akikucheat ili mradi awe amejutia kosa na kuomba msamaha. Lkn akicheat mara ya pili na ukajua hapo ni ruhusa kumuacha na usiangalie nyuma
 
Umemaliza thread closed
 
Una ndoa kaka.

Una watoto. Kama unayo na una watoto sio rahisi kumuacha mwanamke akikucheat ili mradi awe amejutia kosa na kuomba msamaha. Lkn akicheat mara ya pili na ukajua hapo ni ruhusa kumuacha na usiangalie nyuma
Marafiki zangu wanacheat, huwezi ku cheat mara moja, never!
Ukoonja mjegede ugenini lazma uombe mechi ya marudiano.
 
Lakini wewe ni mwanamke Jaji Mfawidhi . Umewahi kucheaat? Kwanini ulicheat?
 
Marafiki zangu wanacheat, huwezi ku cheat mara moja, never!
Ukoonja mjegede ugenini lazma uombe mechi ya marudiano.
Hao marafiki zako ni wa kike ama kiume?

ukiona umechitiwa ujue kuna kitu akipo sawa.

Fanya uchunguzi ukigundua sababu jirekebishe hapo
 
hakuna mwanamke ana cheat kwa bahati mbaya,
Km anamuonekano km huo hata akicheat mara 100 simuachi Mradi na Mimi nimgonge akishatoka kugongwa who cares tunaishi mara 2 kesho nikifa watamgonga tu sasa kwanini nitaabike wakati nipo hai, karibu tuchome kimoja
 
Ha ha ha ha, una bangi ya Kisimiri.
Nimecheka sana hapa mpaka mume wangu ameshangaa!
 
Uko sahihi mwili wake ameamua kufanya maamuzi mwenyewe alafu wewe ujue ndo ujitese mbona unakuwa ni ujinga unakufa na presha na msongo wa mawazo kwa kitu cha kijinga
 
Unajua ukiangalia kwa jicho la tatu kama una familia na mna watoto kumwacha inakuwa ngumu una msamehe yanaisha basi, maisha ni mafupi kweli ukishikilia na ukaleta ujuaji magonjwa yasiyoambukiza lazima yakuhusu, kingine mwili wake kidude chake atumie yeye huko kwa hiari yake mimi nijitese hapana
Una ndoa kaka.

Una watoto. Kama unayo na una watoto sio rahisi kumuacha mwanamke akikucheat ili mradi awe amejutia kosa na kuomba msamaha. Lkn akicheat mara ya pili na ukajua hapo ni ruhusa kumuacha na
 
Uko sahihi mwili wake ameamua kufanya maamuzi mwenyewe alafu wewe ujue ndo ujitese mbona unakuwa ni ujinga unakufa na presha na msongo wa mawazo kwa kitu cha kijinga
Yes of course ukileta za kuleta kitumbua unakikosa na Meno unasaga sasa yanini yote acha wamgonge na Wewe akija gonga kiroho safi, Maisha yanasonga
 
Ha ha ha ha, una bangi ya Kisimiri.
Nimecheka sana hapa mpaka mume wangu ameshangaa!
Mumeo ameshangaa Nini? Ukigongwa na Mimi nikakukojoza kisha ukaiosha ukampelekea na mumeo akugonge na miguno ya uongo juu kitaharibika nini? Hakuna kitakachoharibika
 
Halafu wanaume mabwege kama wewe huwa mnasifiwa kweli na wanawake, ila amini na kwambia hakuna mwanamke yeyote humu ambaye atataka mtoto wake wa kiume awe na akili kama zako
 
Vijana hawatakuelewa ila yalitupata na bado tupo nao. Hiyo kitu watu hawaielewi kwa sababu ya UBINAFSI. Kabla hujaoa lazima ukubali kuwa naingia katika maisha mapya, ya kuachana na ubinafsi naungana na mwenzangu na kutoa maisha yangu kwa viumbe tutakavyovileta duniani. Hapo ndipo uoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ