Usimlazimishe Mgeni Kuvua Viatu

Ahhaahhaha n zimeliwa na panya au ndo viatu vimemaliza kwa ajil ya kutafuta ajira
Mkuu usijisumbue sana katika kuwaza hizo soksi maana huwa hatuulizi zile jinzi zilizochanika zinapatikanaje.Hiyo ni mizigo mipya town ukiachana na Jinzi zilizochanika.mtoko mpya.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Khaaah!! Sasa huu ni ubahiri au kupatwa kwa soksi[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mkuu usijisumbue sana katika kuwaza hizo soksi maana huwa hatuulizi zile jinzi zilizochanika zinapatikanaje.Hiyo ni mizigo mipya town ukiachana na Jinzi zilizochanika.mtoko mpya.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama n fashen haina haja ya kuvaa soks
 
Kuna wehu wataanza kata soksi zao
 
Pia kuvaa soksi zimetoboka hivyo ni uzembe
 
Kuvaa soksi zenye tobo ni kama kuvaa pichu au boxer yenye tobo. Tena akitoka kazini anatangza ufalme bar. Wanaume badilkeni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…