Usimkopeshe pesa mke wa mtu

Usimkopeshe pesa mke wa mtu

Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa

Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
Head ya Thread na maelezo uliyoandika vinapishana, unatuchanganya. Head inasema ulimkopesha, kwenye maelezo unasema ulimkopa
 
Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa

Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
Kama “hujamla”, forget vyote: yeye na hiyo pesa. Lesson learnt the hard way
 
nimegundua ndo maana waimla wanaendelea kutawala, idadi ya wajinga ni wengi sana nchini.
 
Usimkopeshe mtu hela kabsa kabsa ikiwa imekulazimu kufanyia hivo bc
1- muandikishane vzuri kwa maandishi
2- kama sio kuandikishana uwe na ushahidi atleast text au hata calls zote uwe unazirecord na unazitunza kabsa

Lolote laweza kutokea sikuhizi binadamu hawana huruma na pesa imewageuza watu kua mashetani
 
Kubali, omba msamaha yataisha vizuri, ikiwezekana weka message zote kuondoa wasiwasi…kama ni za mkopo tuu😂😂
 
Popote nilipoishi miongoni mwa kanuni zangu SITAKI MAZOEA NA MKE WA MTU.
 
Usimkopeshe mtu hela kabsa kabsa ikiwa imekulazimu kufanyia hivo bc
1- muandikishane vzuri kwa maandishi
2- kama sio kuandikishana uwe na ushahidi atleast text au hata calls zote uwe unazirecord na unazitunza kabsa

Lolote laweza kutokea sikuhizi binadamu hawana huruma na pesa imewageuza watu kua mashetani
Kwa shauri la ndgu yetu hapa, huo ushahidi unaweza kumuweka matatani zaidi.

Kumbuka huyo ni mke wa mtu, tena wanaishi nyumba moja vyumba tofauti, na jamaa yeye hajaoa na ana mawasiliano ya karibu na mke wa mtu mpaka kukopeshana pesa.
 
same day ulompa bora angekulipa in-kind sasa hivi usingekuwa na maumivu sanaa
 
Sio mke wa mtu tu, mazingira tuliyonayo kwa sasa usimpe mwanamke pesa kwa lugha ya kukopa au kumuazima pesa! Umepoteza
 
Back
Top Bottom