Usimkopeshe hela mtu

Ndugu ndo usijaribu kabisa kumkopesha, akikuomba umkopeshe laki 1 bora umpe elf 10 mwambie hiyo laki sina chukua cha ten ikusaidie, ndugu ni wabaya sana mnaweza kuamshiana vita na ukagombana na familia
 
Kesi za madai hata mahakamani hazina tena ile hali ya ukali, mnaweza kumaliza nje ya mahakama na mtu akasepa
Mimi si mzuri sana kukopesha hua natoa ambayo iko ndani ya uwezo wangu
 
Kukopa kwa mtu? Sijawahi ila nataka kujaribu

Nishawahi kukopa branch na salary advance
Vumilia... hizo tabia zikikomaa utachafua Jina na utakosa baraka ktk kipato chako... bora kuomba kuliko kukopa halafu bila kurejesha!!
 
Mimi huwa nafanya kama nawapa tu, hata tukiagana nakopesha.

Wasiporudisha imekula kwao. Maana kuna deal nyingine kubwa zaidi tungeweza kufanya wanakuwa wamejizibia wenyewe.

Kwa hivyo, kama unaona huna uwezo wa kuwapa hiyo hela kama sadaka, usitake kuwapa kwa minajili ya kukopesha.
 
Pasa sikulipi na urafiki uishe
 
Ongeza na pisi Kali tu ndio watakao kula hela yako
 
Wewe kama unajijua ni rafiki yangu kindakindaki nikikukopa ujue sikulipi, marafiki hatukopeshani marafiki tunasaidiana.
 
Tatizo alikuwa mlevi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu tusilaumiane uukikataza watu kukopesha tutapata wapi sapoti
 
Endelea kuomba MUNGU uwe ni mwenye hali nzuri kiuchumi

la hasha kuna siku utaomba pesa mtoto mdogo akukopeshe maana mnadhani wanaokujaga kukopa wanapenda
Kweli Yani , Mana niliowakopa walinikuta napiga kazi sehemu flani na nikawa boss wao na kuwatrain, hafu leo nawakopa baada ya kubanwa mbavu na Ela wasinitoe, wajinga sana Hawa madogo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…