Usimamizi wa mtihani wa taifa walimu walipwe perdiem sio vinginevyo. Tuache ujanja ujanja.

Usimamizi wa mtihani wa taifa walimu walipwe perdiem sio vinginevyo. Tuache ujanja ujanja.

Perdiem yaan kama upo daraja fulani unalipwa let say daraja D 100k kwa siku. Au daraja H 150k kwa siku
 
Mshahara ni mbali na kazi ya nje ya ofisi. Mshahara ambao degree analipwa toka 2016 hadi leo 2026

Wa 716k ??? Dereza akienda safari ana 150k mwalimu 50k??
 
Mshahara ni mbali na kazi ya nje ya ofisi. Mshahara ambao degree analipwa toka 2016 hadi leo 2026

Wa 716k ??? Dereza akienda safari ana 150k mwalimu 50k??
Dereva yupo kwenye risk muda mwng kuliko mwl
 
Kwa hiyo mwalimu ni kibarua tuu. Dereva form 4 na lessen yake.

Huyu mwalimu kafika hadi chuo nani alitake risk ? Au unaangalia dereva kwenda dodoma ?
 
Mshahara mdogo tofauti na kazi yao kubwa kunawatesa, cha ajabu wakiambiwa ukweli wanawaka.
Mshahara wa mwalimu mwenye shahada ya kwanza una tofauti ipi na wa mchumi wa daraja la pili aliye Halmashauri au Serikali kuu?
 
Back
Top Bottom