mtihani wa taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ubungo DSM, Kibesa S/Msingi wanafunzi darasa la nne waamuliwa kuchangia sh. 1,000/ mfululizo mpaka watakapofanya mtihani wa taifa

    Kibesa S/msingi wilaya ya Ubungo, jijini Dar Es Salaam, wanafunzi wa darasa la nne waamuliwa kufanya mtihani mfululizo kwa gharama ya sh. 1,000 kila mwanafunzi na kwa darasa zima lenye wanafunzi 120 linalazimika kuchanga kiasi cha sh.120,000/ ikitajwa kuwa ni posho ya Mwalimu na gharama ya...
  2. maroon7

    Sio sawa watoto kumaliza mtihani wa taifa kisha kuendelea na masomo ya mwakani

    Darasa la nne wamemaliza mitihani hivi karibuni. Na wote tunafahamu jinsi hizi shule za siku hizi zinavyochukulia mitihani kama vita maana kipindi chote cha mwaka watoto hawapumziki kisa mtihani wa taifa na hubebeshwa madaftari yote na vitabu juu. Mbaya zaidi watoto walianza kutoka jioni saa...
  3. BLACK MOVEMENT

    Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri. Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani...
  4. Chief_mataka

    NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2022

    Watahiniwa 93,136 (98.97%) wamefaulu Mitihani yao, ikielezwa Wasichana ni 40,907 na Wavulana ni 52,229. Aidha, Baraza la Mitihani (NECTA) limesema jumla ya Watahiniwa 83,877 (99.24%) wamefaulu katika Daraja 1 hadi 3 Ufaulu katika Masomo ya Historia, Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Physics...
  5. kiwatengu

    NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne 2021

    Salaam! Baraza la Mitihani ya Kitaifa linajiandaa kutangaza matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne ulifanyika mwishoni mwa mwaka 2021 (CSEE). Pamoja na Mtihani wa Upimaji kidato cha Pili (FTNA). Wahitimu wote mkae mkao wa kuvuna kile mlichopanda. Source: NECTA news Piga *152*00#...
Back
Top Bottom