DuuuMkuu , nataka nitest uwezo wa mashine kisha malipo yatafata tu[emoji23]
Kwa ruhusa na kipimo maalumMbona zinatumika mahospitalini kama nusu kaputi?
Maumivu yake huwa makali kuzidi pakanga..Jamani ee (seriously), nimekuwa nasikia et wakati wa kukata roho Kuna maumivu makali.
Nimejitahidi Sana kuyaelewa hayo maumivu nimeshindwa. Ni maumivu ya aina gani?? Ya kuumia mwili?? Au maumivu ya aina gani??
huenda hii mashine ikawa suluhisho la jibu lako........namaanisha ukitaka kujua maumivu yake ingia uwashe kidogo, ukisikia kudedi unazima😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡Jamani ee (seriously), nimekuwa nasikia et wakati wa kukata roho Kuna maumivu makali.
Nimejitahidi Sana kuyaelewa hayo maumivu nimeshindwa. Ni maumivu ya aina gani?? Ya kuumia mwili?? Au maumivu ya aina gani??
Iwe hivyo kwa wanaotaka kujitoa uhai pia.
kifo ni kama mlango tu, nitakuaja kuazima hiyo old model
We will consider thisIwe hivyo kwa wanaotaka kujitoa uhai pia.
Kwani hata hiyo mashine si kwa ruhusa maalum?
Hahahhaaa poakifo ni kama mlango tu, nitakuaja kuazima hiyo old model
OK
Id yako inamaanisha MANYIGU😂😂😂huenda hii mashine ikawa suluhisho la jibu lako........namaanisha ukitaka kujua maumivu yake ingia uwashe kidogo, ukisikia kudedi unazima😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]Unamwambia embu choo baby utest kitanda chako kipya zawad nimekununulia...hehehe
Sijui pakanga ni nini but Mshana umejuaje? From experience or something?
Zinatumika hospitali zote kubwa duniani kwenye nusu kaputi.Hizo ni dawa za kulevya zilizopigwa marufuku sehemu kubwa ya dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri ifike zamu yako utaelewa tuJamani ee (seriously), nimekuwa nasikia et wakati wa kukata roho Kuna maumivu makali.
Nimejitahidi Sana kuyaelewa hayo maumivu nimeshindwa. Ni maumivu ya aina gani?? Ya kuumia mwili?? Au maumivu ya aina gani??