Usilolijua juu ya majengo ya UDOM

Hahahah ndio mimi mkuu.Last two weeks nilikuwa kule UDOM Carnival kwenye Hip Hop freestyle nikiwa na mtoto wa Humanities

Of course sitaacha kwenda
Hahahaha deadbody!! Upo mwaka wa ngapi!! Nnavijana wangu walikua hapo mmoja CE na mwingine CS
 
Yaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!

Sio mbaya sawa!!

Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa

hii ndo ipo uchi kabisa...and through this I can now see the relevance of this thread as ilivyoletwa na mleta uzi...mi nazani ni style tu ambayo haihusiani kbs na kile mleta uzi anavofikiria.

Ila ukweli ni kwamba ukiwa chini unaranda kwenye hayo majengo huwezi gundua kbs hiyo shape ya nam 6.
 
Tupunguze iman potofu la Sivyo hatutafiikia maendeleo ya viwanda.
 
Cive ni kwa msaada wa Microsoft wamewekeza pale, so kama unaamini katika hizi prophesy shit, lazima ukubali mkuu
 
Yaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!

Sio mbaya sawa!!

Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa

Nadhani hizi ndio ilikuwa target yake ila akawa ameshindwa kupata shot yake
 
kwa hiyo?
 
Yaani unakuta sometimes MTU analazimusha kitu kisichowezekana kiwepo
Naamini hata furniture za ndani zinvyopangwa kuna MTU atasema zipo ki Freemasonry
 
Hiyo 666 ina maana gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…