Usile mayai zaidi ya 3 ndani ya wiki moja

Usile mayai zaidi ya 3 ndani ya wiki moja

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Mayai yana protini, vitamini na madini. Hata hivyo mayai yana lehemu kwa wingi.
Yai moja lina 213 mg za lehemu (cholesterol) ambazo huhitajika mwilini kwa siku.

Hivyo ni bora kupunguza matumizi ya mayai, yasizidi matatu kwa wiki na litumike yai moja tu kwa siku tofauti.

DS8hCmYX4AEDM97.jpg

Tiba Fasta
 
Niliangalia programme moja kwenye BBC, wa kusema yai la kuchemsha si baya kama la kukaanga. Unaweza kula mayai mawili ya kuchemsha kila siku kama sehemu ya break fast.

Dada mmoja yeye alikuwa anafanya diet, aliniambia break fast anakula fruits lunch ni mayai miwili ya kuchemsha, tango na vipande viwili vya brown bread.

Dinner ni mayai manne ya kuchemsha brown bread vipande viwili, parachichi na maji.
 
Niliangalia programme moja kwenye BBC, wa kusema yai la kuchemsha si bays kama la kukaanga. Unaweza kila mayai mawili ya kuchemsha kila siku kama sehemu ya break fast.

Dada mmoja yeye alikuwa anafanya diet, aliniambia break fast anakula fruits lunch ni mayai miwili ya kuchemsha, tango na bipande viwili vya brown bread.

Dinner ni mayai manne ya kuchemsha brown bead biplanes viwili, parachichi na maji.
Sijakuelewa..kwahiyo which is which? ni nzuri kiafya ama mbaya? maelezo yako yameniacha njiapanda!
 
Ina maana nikizidisha hyo lehemu itanifanya niwe marehemu au. Na kama nimekula mayai ma5 nifanye nini ili kupunguza malehemu. Na je hayo malehemu yanapatikana kwa mayai tu?.
 
Mayai yana protini, vitamini na madini. Hata hivyo mayai yana lehemu kwa wingi.
Yai moja lina 213 mg za lehemu (cholesterol) ambazo huhitajika mwilini kwa siku.

Hivyo ni bora kupunguza matumizi ya mayai, yasizidi matatu kwa wiki na litumike yai moja tu kwa siku tofauti.

DS8hCmYX4AEDM97.jpg

Tiba Fasta
Kama yai lina lehemu 213 mg zinazohitajika mwilini kwa siku sasa iwaje nisile yai moja kwa siku kulingana na mahitaji ya mwili
 
FDA wameshafanya research na kugundua kuwa cholesterol tunayokula kwenye vyakula ni ndogo sana ukilinganisha na cholesterol tunayoitengeneza mwilini, hivyo onyo lako ni outdated. Keep yourself informed.
 
Niliangalia programme moja kwenye BBC, wa kusema yai la kuchemsha si baya kama la kukaanga. Unaweza kula mayai mawili ya kuchemsha kila siku kama sehemu ya break fast.

Dada mmoja yeye alikuwa anafanya diet, aliniambia break fast anakula fruits lunch ni mayai miwili ya kuchemsha, tango na vipande viwili vya brown bread.

Dinner ni mayai manne ya kuchemsha brown bread vipande viwili, parachichi na maji.
Au "poached" sio mbaya.
 
Mkuu mimi nikiwa na bifu na work mate wangu hii ndio njia rahisi kuwakomoa.

Mayai 3 ya kuchemsha, soda Coca ya moto then maharage ya jana. Wanatafutana humo ndani.

[emoji36] [emoji36] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wewe si mstaarabu hata kidogo.
 
Back
Top Bottom