Hiyo ya 5, 6 umetunga mwenyewe uwongo? No 2na sie tunaoenda job asubuh mpaka usiku unashaurije tukifika ofisini tuvue sidiria?
Ukishikwa ugoni babaangu km unabisha jaribu kisayansi!!
Hilo la 5 la msingi sana. Lazma kidude kiachwe wazi kipumue.
Wanasayansi wa bongo wanasemaje?Ladies and gentlemen
2 - USILALE UMEVAA SIDILIA(wanawake wanayovaa kwenye matiti ). Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.